Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MTASINGWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHA MAPINDUZI UBUNGE JIMBO LA BUKOBA MJINI KATIKA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 2025

Mhandisi Johnston Mutasingwa aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini.

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM imemteua Mhandisi Johnston Mutasingwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera.

Uteuzi huo umefanyika Jumamosi, Agosti 23, 2025 katika kikao cha Halmashauri Kuu kilichoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan.

Uteuzi wa Mutasingwa umetangazwa usiku wa Jumamosi na aliyekuwa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho Amos Makalla wakati akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CCM, jijini Dodoma.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com