Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MGOMBEA URAIS NA MAKAMU WA RAIS KUPITIA CHAMA CHA ALLIANCE AKABIDHIWA FOMU YA UTEUZI KUGOMBEA URAIS TANZANIA


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru. Mgombea huyo wa AAFP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Shum Juma Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru. Mgombea huyo wa AAFP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Shum Juma Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).






Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru akisaini kitabu
Mgombea Mwenza Mhe. Shum Juma Abdalla akisaini kitabu







Baadhi ya wanachama wa chama hicho waliomsindikiza mgombea wakiwa katika chumba cha kutolea fomu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com