Katika uchaguzi wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga, Jackline Isaro ameibuka mshindi kwa kishindo baada ya kuwaburuza wapinzani wake akiwemo aliyekuwa anatetea kiti chake Victor Mkwizu.Jackline amepata kura 120, akifuatiwa na Hatibu Mgeja aliyepata kura 87, Victor Mkwizu kura 3 na Makwaiya kura 1.
Social Plugin