Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ALIJARIBU KILA NJIA KUMVUTIA MWANAUME FULANI BILA MAFANIKIO LAKINI LEO HUYO MWANAUME NDIYE MUME WAKE


Wakati mwingine mapenzi yanaweza kuwa ya kushangaza sana. Nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa na suti ya kijivu, tai ya maroon na viatu vya rangi ya kahawia iliyong’aa, nilihisi moyo wangu ukiruka kama vile mtu aliyeguswa na umeme.

Hakuwa staa wa filamu, wala hakuwa tajiri mkubwa lakini alivyojitokeza, alivyonukia, na alivyonena ilitosha kunichanganya. Nilijua huyo ndiye mtu niliyetaka kuwa naye maishani, lakini haikuwa rahisi hata kidogo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com