Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CHIEF ABDALLAH SUBE NA MBIO ZA UBUNGE SHINYANGA MJINI KUPITIA ADA - TADEA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama ADA TADEA, Chief Abdallah Sube, amerejesha rasmi fomu za uteuzi kuwania nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

Urejeshaji wa fomu umefanyika kwa utaratibu ikiwa ni hatua ya kuanza rasmi kwa kampeni zake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com