Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WALINIKATAA MARA 17 KWENYE AJIRA LEO MIMI NDIYE BOSS WAO


Nikiwa chuoni nilikuwa na ndoto kama vijana wengi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa, kuvaa suti, kuwa na ofisi yenye AC na jina langu mlangoni. Niliposoma kozi ya biashara na usimamizi, kila mtu aliniambia nina kipaji. Nilikuwa nikiamini kuwa mara tu baada ya kuhitimu, maisha yangenitabasamia.

Lakini hali haikuwa hivyo. Baada ya kuhitimu, nilianza kutuma maombi ya kazi kila mahali. Nilipigwa “Asante kwa kuomba, lakini hatukuchagua” mara ya kwanza. Nilijikaza. Nikatuma ya pili, ya tatu… mpaka nilikua nimefikia maombi 17 yote yakikataliwa. Soma zaidi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com