Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAKILI MSOMI CHRISPINE MYEKE AJITOSA UBUNGE JIMBO JIPYA LA ITWANGI


Na Mwandishi wetu Malunde 1 Blog.

Wakili Msomi Chrispine Myeke simon, amechukua na kurudisha Fomu ya kuomba Ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la jipya la Itwangi.

Wakili Chrispine Myeke amechukua Fomu hiyo leo Julai 2,2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini.

Akizungumza mara baada ya kuchukua Fomu hiyo, amesema yeye kama Kijana mzalendo, ameamua kutumia haki yake ya kikatiba kuchukua Fomu ya Ubunge,na kwamba anasubili taratibu zingine za kichama.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com