Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MUUGUZI APATIKANA NA MIMBA YA MGONJWA ALIYEKUWA MAHUTUTI WENZAKE WADAI NI UCHAWI WA TENDO


Tukio la ajabu limezua mshangao mkubwa mkoani Morogoro, baada ya muuguzi mmoja kijana kujikuta akiwa mjamzito huku akidai baba wa mtoto ni mgonjwa aliyekuwa hajitambui kwa wiki tatu.

Wenzake walioshtuka na kilichotokea wanadai huenda ni “uchawi wa tendo la ndoa” kwa kuwa hakuna uwezekano wa kawaida kwa hali hiyo kutokea. Soma zaidi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com