KATIBU MKUU MSTAAFU ARCH. ELIUS MWAKALINGA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KYELA
Tuesday, July 01, 2025
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, ameibuka rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa Jimbo la Kyela kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea leo Julai 1, 2025, katika ofisi za chama hicho wilayani humo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin