
Najua watu wengi watanihukumu kwa kichwa hiki peke yake, lakini naomba unisikilize kabla hujanitupia mawe. Nilipokutana na Paul, sikujua kwamba alikuwa tayari ameoa. Alijitambulisha kama mfanyakazi wa serikali, mjane mwenye mtoto mmoja.
Tulikutana kwenye mkutano wa kitaaluma Arusha. Alikuwa mwenye heshima, mpole, na alikuwa anajua kuzungumza kwa lugha inayovutia mwanamke yeyote. Kabla sijajua, tulikuwa tumeshazoeana, tukawa karibu zaidi ya kawaida.Soma zaidi
Social Plugin