
Siwezi kusahau jinsi ilivyokuwa kuingia kwenye inbox ya mtu kila siku, ukijua ataiona lakini hatarudisha. Siku moja nilimtumia “Hi ” aliisoma saa ileile, lakini hakujibu. Siku iliyofuata nikatuma tena “Upo?” blue tick.
Nikamshangilia birthday yake WhatsApp, akani-reply wiki mbili baadaye na emoji ya keki tu. Blue tick ikawa kama tabia, kama marafiki wa karibu wa moyo wangu ulioumia kimya kimya.
Social Plugin