
Uongozi wa Shule ya Awali na Msingi Roama unawakaribisha wazazi na walezi kuandikisha watoto wao kwa ajili ya masomo ya kuhamia kwa madarasa yafuatayo:
➡️ Darasa la Awali (Pre-school)
➡️ Darasa la I, III, V na VI
🔹 Usaili (Interview) hufanyika kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa.
🔹 Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kwa awamu.
📞 Wasiliana Nasi Sasa:
📲 0625 681 510 | 0713 597 332 | 0768 482 353 | 0625 886 698
📧 Email: roamarpps@gmail.com
📍 YouTube & Facebook: Roama Pre & Primary School
Roama Pre & Primary School – The Home for Academic Excellence”
📍 Nzuguni, Dodoma
📮 P.O. Box 1069 | REG NO: EM. 19433
Roama Pre & Primary School – Kituo sahihi cha kukuza vipaji na kutoa elimu bora kwa watoto wako!
Social Plugin