Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa imepitisha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Sheria katika Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Eustard Athanace Ngatale, kugombea Ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini katika mchakato wa ndani ya chama.Wagombea wengine waliopitishwa ni Stepgen Julius Masele, Patrobas Katambi, Abubakar Gulamhafiz Mukadam, Hassan Athuman Fatiu, Hosea Muza Karume na Paul Joseph Blandy.
Mchakato wa uteuzi wa wagombea wa CCM unaendelea kuimarisha ushawishi wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Social Plugin