DKT. CHRISTINA MZAVA ACHUKUA FOMU UBUNGE VITI MAALUM SHINYANGA
Sunday, June 29, 2025
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Dkt. Christina Mzava amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea tena nafasi ya ubunge wa viti maalum kwa wanawake kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin