Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NGATALE ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE SHINYANGA MJINI



Na Mwandishi wetu Malunde 1 Blog.

Aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi idara ya sheria katika ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mzalendo halisi Mwanashinyanga Ndugu. Eustad Ngatale ameonyesha dhamira yake ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Shinyanga Mjini kwa kuchukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini.

Ngatale amechukua fomu mapema leo Juni 30, 2025 katika ofisi za CCM Shinyanga Mjini na kukabidhiwa na katibu wa CCM Bi. Hamisa Chacha.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com