Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MTAALAMU WA MASUALA YA KIMATAIFA MARTIN KIKULI AJITOSA UBUNGE KAHAMA MJINI

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Martin Benard Kikuli amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania  Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini lililopo katika Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Martin Kikuli ambaye kwa sasa ni Msaidizi wa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) hapa nchini Tanzania, ameonesha dhamira ya dhati ya kulitumikia jimbo hilo kwa lengo la kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com