MHANDISI MSHAMU MMUNDE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LIWALE
Monday, June 30, 2025
Mhandisi Mshamu Mmunde, mkoani Mtwara, akionesha fomu ya kuomba ridhaa Kugombea Ubunge Jimbo la Liwale kupitia CCM.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyamba Mhandisi Mshamu Mmunde, mkoani Mtwara, ametangaza rasmi kuwania ubunge baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa Kugombea Ubunge Jimbo hilo kupitia CCM.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin