Mhandisi James Jumbe Wiswa akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 28,2025 baada ya kuchukua katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini.
Chama Cha Mapinduzi kimefungua rasmi mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani, ubunge, na uwakilishi kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Mchakato huu umeanza rasmi Juni 28, 2025, na unatarajiwa kufungwa Julai 2, 2025.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin