Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWASILI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MSUYA




Na Mwandishi wetu,Kilimanjaro

Pichani ni baadhi ya matukio ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

Rais Samia amewasili kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yatakayofanyika Kesho (13 Mei, 2025) Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro.




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com