Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DUH! MGUU WAKUTWA KATIKA BIASHARA



Kutokama na Sofia Mutola ambaye ni mwanamke mchapakazi na anayetamani mambo makubwa, mrembo huyu anamiliki msururu wa mabucha huko Dagoretti, kaunti ya Nairobi nchini Kenya maarufu kwa wengi kama Ndonyo Kichinjio.

Miaka minne iliyopita, alianza biashara yake na tangu mwanzo na akaikuza na kuwa biashara yenye mafanikio, alikuwa na wateja waaminifu ambao wangekuja kutoka maeneo mbalimbali kama Ngong, Kinoo, Kangemi, Kilimani na Kileleshwa ili tu kumnunulia nyama kwake.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com