Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO 'SAMIA KALAMU AWARDS 2025'


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, Wadau wa habari pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 kwa Waandishi wa Habari iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Viongozi, wadau wa Habari pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na Mama Getrud Mongela wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde akimkabidhi tuzo ya Mwandishi Mahiri wa Habari za Madini ,Dotto Dosca Kwilasa Mwandishi wa Malunde Media (Malunde 1 blog) wakati wa hafla ya tuzo za Samia Kalamu Awards 2025.







@malundeblog

Mwandishi wa habari na mtengenezaji hodari wa maudhui ya kidijitali kupitia Malunde Media (Malunde 1 Blog), Dotto Dosca Kwilasa, ameandika historia kwa kushinda tuzo ya Mwandishi Mahiri wa Habari za Madini katika tuzo kubwa za Samia Kalamu Awards 2025!https://www.malunde.com/2025/05/Kwilasa.html

♬ original sound - Malunde

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com