
Ng'wana Ituli, Manju mashuhuri wa kabila la Wasukuma


Ngoma ya Ng'wana Ituli siyo ya kawaida – ni mchanganyiko wa vipigo vya ngoma halisi, ngoma za mdundiko wa asili, na ujumbe mzito wa kijamii, unaoambatana na mapigo ya dansi, vichekesho na hadithi za jadi.
Anaendesha kikundi chake cha ngoma kilichosheheni vijana na wazee waliobobea katika utamaduni wa Kisukuma.
Tazama Hapa
Social Plugin