Kitengo hiki kipya kimeanzishwa mahsusi kuhudumia wafanyabiashara wa Tanzania na nchi za Afrika Mashariki, kikilenga kutoa huduma za:
👉Forodha (customs clearance)
👉Usafirishaji wa bidhaa (freight forwarding)
👉Usaidizi wa uagizaji na usambazaji wa mizigo
Mkombe Logistics ni kampuni yenye leseni rasmi ya kufanya shughuli za usafirishaji katika nchi zote za SADC – hatua inayowapa Watanzania fahari na nafasi pana zaidi ya kushiriki katika biashara ya kikanda kwa ufanisi.
📍 Anuani ya Ofisi Mpya:
Mkombe Trading & Logistics Company
7 Taljaard Road,
Bartlett, Boksburg,
Johannesburg, South Africa
🌐 www.mkombeclearing.com
📞 Mawasiliano:
👉Simu: +27 60 474 9717 / +27 11 392 5650 au +255746209547
👉Barua pepe: info@mkombeclearing.com
Ikiwa unahitaji huduma za kuagiza bidhaa kutoka Afrika Kusini au kutuma bidhaa zako kutoka Tanzania, Mkombe Clearing and Forward ni jibu la uhakika.

@malundeblog 🎁🟣 DONDOSHA Parcel Bongo, Bondeni Kirahisi Kabisa! Ni uhakika na rahisi kabisa kusafirisha Mzigo wako kupitia Mkombe Logistics! Wafanyabiashara Watanzania - Afrika Kusini Watabasamu: Huduma za Mkombe Logistics Zawafikia _Kampuni ya kizalendo ya Mkombe Logistics (PTY) Ltd imezindua kitengo kipya cha Mkombe Clearing and Forward Jijini Johannesburg kwa ajili ya kutoa huduma za usafirishaji wa mizigo na forodha kati ya Tanzania na Afrika Kusini 📌 Huduma hizo ni: 🔷Forodha (customs clearance) 🔻Usafirishaji wa mizigo (freight forwarding) 💠Uagizaji na usambazaji wa bidhaa hadi mlangoni 📞🥏 +27 60 474 9717 | +27 11 392 5650 🌐 www.mkombeclearing.com 📧 info@mkombeclearing.com 👇🏻 https://www.malunde.com/2025/05/Biashara-Tz-SA.html?m-
♬ original sound - Malunde
Social Plugin