Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BIASHARA YANGU YA CHIPS INAPAA, NAUZA VIAZI HADI TANI 10 KWA SIKU

Jina langu ni Mangi kutokea Kiwalani, kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia watu mbalimbali wakisema baadhi ya biashara zimekuwa na faida zaidi na nyingine faida yake ni ndogo sana, hivyo kuzifanya ni kama kupoteza muda tu. 

Binafsi nilianza kupingana na jambo hilo tangu siku niliyopata msaada kutoka kwa Kiwanga Doctors ambaye alinisaidia kuwa na mvuto wa kibiashara ambao kila biashara ninayofanya kangu inakuwa na faida bila kujali watu wengi wanaionaje. 

Nilikuwa nimeshafanya biashara nyingi kama kuuza simu, kusafirisha mazao mikoani, kununua na kuuza mifungo na nyingine lakini sikuona faida yake na mtaji wangu ulipokuwa unakaribia kuisha nikaona nipumzike nyumbani kwanza ili kujipanga upya.

Kipindi nipo nyumbani nilikuwa nasoma magazeti mbalimbali ndipo nilipokutana na Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya ambaye sitochoka kumshukuru kwa usaidizi aliyonipatia maisha mwangu. 

Baada ya kuwasiliana naye aliniambia hilo halina shida kwani kwa miaka mingi amekuwa akiwasaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na ameweza kutengeneza matajiri wengi katika ukanda huo wenye nchi sita kwa sasa. 

Alinipatia dawa zake (win spell) na maelekezo nami nikafanya jinsi alivyoniambia, nilikaa nyumbani tena kwa wiki kadhaa ndipo nikapata wazo nianze biashara ya kuuza chipsi.

Hata hivyo, baadhi ya majirani waliniona kama mtu niliyeyumba kimaisha kwani nilikuwa mtu wa kufanya biashara kubwa kama kuuza simu na kusafiri mikoani. 

Biashara yangu ya chips nilianza pekee yangu ambapo kwa siku nilikuwa nauza viazi ndoa moja au mbili, lakini baada ya wiki kadhaa wateja waliongezeka sana nikawa nauza viazi hadi gunia mbili. Hapo ikanibidi nitafute vijana watatu wa kunisaidia kumenya viazi pamoja kunisaidia kuhudumia wateja. 

Sasa ikiwa ni mwaka mmoja wa biashara hii, tayari nimeweza kufungua sehemu nyingine ya pili ambapo nimeajiri hapo vijana zaidi ya 20, hivyo hivyo pale mwanzo, muda huu mimi nimekuwa nikisimamia tu vijana na kuangalia namna wanahudumia wateja. 

Kwa  siku viazi tunauza hadi gunia 10 na wateja wetu wamekuwa wahitusifia kuwa tunajua biashara hii vizuri sana. Tumekuwa tukipokea oda za wateja wetu na tunauza hadi saa tisa usiku. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com