Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA PROGRAM YA KUENDELEZA KILIMO, UVUVI




Na Mwandishi wetu,Dar

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu na watendaji kuhusu masuala ya Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvivu (AFDP)

Kikao hicho kimefanyika tarehe 06 Machi, 2025 katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Magogoni, Jijini Dar es salaam.








Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com