Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.
Viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 05 Machi, 2025.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com