RAIS MHE. DKT. SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songea Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili za Mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songea kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 23 Septemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa alipokuwa akitoa maelezo kuhusu mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea Mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ameanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo pamoja na mambo mengine atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post