Picha : WARSHA MBALIMBALI TAMASHA LA 7 LA JINSIA NGAZI YA WILAYA 2024

Tamasha la 7 la Jinsia Ngazi ya Wilaya 2024 limeendelea leo Jumatano Agosti 28,2024 katika Viwanja vya Sabasaba Kondoa Mkoani Dodoma ambapo mbali na Mjadala wa Wazi kuhusu Tathmini ya Dira ya Maendeleo 2025 na Maandalizi ya Dira ya Taifa 2050 (Tanzania tuitakayo kuelekea 2050) pia kumefanyika warsha mbalimbali ikiwemo Warsha ya Miaka 30 ya Beijing : Wako wapi viomgozi wanawake, Rasilimali za taifa ziwanufaishe wananchi wa pembezoni, Harakati za kijamii na ushiriki wa makundi rika kuna masuala ya ukatili wa kijinsia, Teknolojia na mabadiliko ya tabia nchi. Kuna masuala gani ya ukatili na ziko wap kazi zenye ujira na staha kwa wanawake na vijana. Kuna masuala gani ya ukatili wa kijinsia. Picha na Malunde Media

Tazama Matukio katika picha hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post