WAZIRI AWESO AWASILI MOROGORO KWA ZIARA YA SIKU MOJA

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso leo Jumanne  tarehe 23 Julai 2024 amewasili Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo atakagua mitambo ya kusukuma maji Tumbaku, kukagua shughuli za uzalishaji maji Mafiga, kushuhudia utiaji saini mkataba wa uboreshaji wa huduma ya maji - Gairo na kuongea Wananchi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post