EWURA YATOA ELIMU KWA VITENDO KWA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA

Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mamlaka ya kudhibiti huduma za Nishati na Maji EWURA Kanda ya Magharibi wakiangalia namna maji yanavyotibiwa ili yawe salama.Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mamlaka ya kudhibiti huduma za Nishati na Maji EWURA Kanda ya Magharibi wakitembelea Kituo cha uzalishaji ya Ziwa Victoria Kilichopo Ihelele wilayani Misungwi Mkoani Mwanza.

*****
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),leo imetoa elimu kwa vitendo kwa waandishi wa habari wa Shinyanga kwa kufanya ziara ya mafunzo katika mitambo ya kuzalisha maji ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA) katika eneo la Ihelele, Misungwi, Mwanza.

Ziara hiyo ni hitimisho la mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na EWURA kwa Wanahabari, juu ya udhibiti wa huduma za nishati na maji ili wajionee kazi inayofanywa na KASHWASA na shughuli za udhibiti wa EWURA katika sekta ya maji.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Walter Christopher alisema, udhibiti wa EWURA katika mamlaka za maji pamoja na mambo mengine ni kusimamia shughuli za uchumi na ufundi za mamlaka hizo ili zitekeleze majukumu yake kwa mujibu wa mpango wao wa biashara.

KASHWASA kwa sasa inazalisha maji lita milioni 67,000/- kwa siku, inatoa huduma ya maji ya jumla kutoka ziwa Viktoria kwenda katika miji ya Ngudu, Kishapu, Maganzo, Shinyanga, Kahama, Kagongwa, Isaka, Nzega, Igunga, Uyui, Singida, Tabora, migodi ya almasi ya Mwadui na Zube Jontas pamoja na jumuiya za watumiaji maji katika eneo lote inalohudumia.
TAZAMA PICHA ZA MATUKIO HAPA CHINI
Kaimu Mkurugenzi wa KASHWASA John Zengo ambaye ni Meneja huduma kwa wateja
Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi Mhandisi Walter Christopher
Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mamlaka ya kudhibiti huduma za Nishati na Maji EWURA Kanda ya Magharibi wakisikiliza maelezo namna maji yanavyozalishwa kutoka ndani ya Ziwa Victoria.

Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mamlaka ya kudhibiti huduma za Nishati na Maji EWURA Kanda ya Magharibi wakisikiliza maelezo namna maji yanavyozalishwa na kutibiwa kutoka ndani ya Ziwa Victoria.

Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mamlaka ya kudhibiti huduma za Nishati na Maji EWURA Kanda ya Magharibi wakiangalia namna maji yanavyotibiwa ili yawe salama.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post