Picha : RC MACHA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA VYOMBO VYA HABARI 'MEDIA DAY' SHINYANGA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akifungua Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari ‘Media Day’ Mkoa wa Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatano Mei 15,2024 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga yakiongozwa na Kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kimazingira’ - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari ‘Media Day’ Mkoa wa Shinyanga yaliyofanyika leo Jumatano Mei 15,2024 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga yakiongozwa na Kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kimazingira’ Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post