DKT. YONAZI ATETA NA WATAALAM WA KUHUISHA MWONGOZO WA MAADHIMISHO NA SHEREHE ZA KITAIFA

 Matukio katika picha

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akifungua Kikao Kazi cha Kuhuisha Mwongozo wa Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa wa Mwaka 2011 na Mwongozo wa Ziara za Viongozi wa Kitaifa Mikoani wa Mwaka 2011 kilichofanyika tarehe 26 Februari, 2024 Jijini Dodoma

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho, amewakumbusha kuzingatia ufanisi na weledi huku wakizingatia kanuni na taratibu za utumishi katika kuandaa miogozo hiyo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments