RAIS SAMIA ATANGAZA SIKU SABA ZA MAOMBOLEZO KIFO CHA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya 29 Februari 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo kuanzia kesho kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia leo katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya Saratani ya mapafu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post