RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA SIKU YA SHERIA, TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria nchini ambayoinafanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo Februari 01,2024. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele na Mjumbe wa Tume, Mhe. Jaji wa (R) Mwanaisha Kwariko ni miongoni mwa washiriki katika maadhimisho hayo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria nchini ambayoinafanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo Februari 01,2024.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Jacobs Mwambegele akimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan aipokua akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria nchini ambayoinafanyika kitaifa katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo Februari 01,2024.
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mwanaisha Kwariko (mwenye kilemba) ni miongoni mwa Majaji wa Rufani waliohudhuria sherehe hizo.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwa katika maadhimisho hayo.

Majaji wa Rufani wakiwa katika sherehe hizo.

Wananchi waliohudhuria siku ya Sheria.

Wanasheria mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo.


Wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini.
Jaji Mkuu wa Tanzania akikagua gwaride maalum.


Jaji Mkuu wa Tanzania akipokea heshima maalum ya kijeshi baada ya kukagua kwaride.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments