BECO PRE & PRIMARY SCHOOL YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO 2024!! HAYA HAPA MAAJABU YAKE!!

BECO PRE & PRIMARY SCHOOL YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO 2024!!

Shule ya awali na Msingi BECO (Beco Pre and Primary School) inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2024!!

🚨 Beco Pre and Primary School ni miongoni mwa shule bora Tanzania.

🚨 Shule yetu inafanya vizuri mitihani ya Taifa.
🚨  Mwaka 2021 Shule ilikuwa ya 10 Kitaifa.
🚨 Mwaka 2022 na 2023 imekuwa kati ya bora zaidi kitaifa na kufanikiwa kupata daraja mtihani darasa la saba wanafunzi 'A' bora wote.

👉 Shule ina mazingira bora kwa taaluma bora kwa mwanafunzi.
👉  Shule ina walimu bora waliobobea katika taaluma zao.
👉Shule inafundisha maadili mema kwa watoto wa dini zote.
👉 Usafiri wa uhakika.
👉 Ada zetu ni nafuu sana.


Tunasajili watoto wa chekechea na la kwanza na wanaohamia madarasa yote.

Shule ya BECO inapatikana Shinyanga Mjini nyuma ya Kom Sekondari.

Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0763 157 400  au 0624 293 323
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post