BENKI YA CRDB TAWI LA UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo,Hollo Buyamba akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi benki siku ya Wiki ya Huduma kwa Wateja leo jijini Dar es Salaam. ( PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MMG )
Branch Manager Benki ya CRDB tawi la Ubungo,Hollo Buyamba (kulia) akipokea zawadi kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo, mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa sherehe za Wiki ya Huduma kwa wateja wa benki hiyo leo jijini Dar es Salaam.


Ilikuwa ni fursa ya pekee kwa wafanyakazi hawa wa Benki ya CRDB kupiga picha mbali mbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja leo jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post