MECHI ZA KUKUPA PESA USIKU WA ULAYA HIZI HAPA

Baada ya kungojea kwa muda mrefu hatimaye Ligi ya Mabingwa imerejea ambapo leo na kesho ni kivumbi tuu timu 32 zinawania ushindi kwenye mechi zao za kwanza za ufunguzi huku Meridianbet wakikuwekea ODDS za maana na za ushawishi wa wewe kuweka dau lako.


Leo hii kuna timu nyingi ila timu za kutazama na zenye ODDS kabambe ni hizi hapa PSG VS Borussia Dortmund. Vijana wa Luis watakuwa nyumbani kusaka ushindi wa kwanza huku timu hiyo ikihangaika kila msimu kulitafuta taji hilo bila mafanikio. PSG yenye mchezaji mwenye kombe la Dunia 2018 Kylian Mbappe wametoka kupoteza mchezo wa Ligi huku Dortmund akishinda mechi ya mwisho ya ligi.

Timu hizi mbili mara ya mwisho zilikutana msimu wa 2019/2020 na kila timu ilishinda ikiwa nyumbani kwake. Je leo hii inaweza ikawa kama msimu majuzi au mambo yatakua tofauti? Kwa dau dogo tuu unaweza kubashiri mechi hii.

Bayern Munich Dhidi ya Manchester United, hii ni mechi nyingine ya kukupatia maokoto pale nyumba ya mabingwa Meridianbet ambapo United itasafiri hadi Allianz kesho Arena kujua wanaanzaje michuano hii. Mashetani wametoka kupoteza mechi mbili mfululizo kwenye ligi wakikumbwa na majeruhi kibao. Bayern ya Kane wamepewa nafasi kubwa ya kushinda wakiwa na ODDS ya 1.49 kwa 5.48. Beti mechi hii.

Ndugu mteja jisajili na Meridianbet, muda ndio huu sasa wa kuingia www.meridianbet.co.tz na uweze kupiga maokoto ya kutosha na mechi hizi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

AC Milan Dhidi ya Newcastle United, boli lingine litataembea sana majira ya saa 1:45 pale San Siro leo ambapo Howe na vijana wake Newcastle United watakuwa wakijiuliza maswali magumu kabisa kutoka kwa Milan ambayo ina hasra za kupoteza derby wikendi iliyopita. Pioli ana ODDS ya 2.69 kwa 2.69 ikimaanisha kuwa hapa yoyote akikaa vizuri anaweza kuondoka kifua mbele.

Pia unaweza kubeti mechi hii yenye machaguo mbalimbali pale Meridianbet kama vile magoli, kona faulo na mengine kibao. Takwimu hizi zinaonyesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana hii ndio mara ya kwanza na Tonali anatarajiwa kukutana na timu yake ya zamani. Nenda Meridianbet na usuke mkeka wako sasa.

Barcelona Dhidi ya Royal Antwerp, Mabingwa watetezi wa Laliga, Barcelona chini ya kocha mkuu Xavi Hernandez atacheza dhidi ya Antwerp kutoka kule Ubelgiji akiwa na ODDS ya 14.07. Barca amechukua kombe hili la UEFA mara 05 huku mgeni akiwa hana.  Kwenye michezo mitano ya ligi Barca kashinda mara 4 na sare 1 huku mgeni kwenye michezo sita ya ligi ameshinda mitatu, sare mbili na kapoteza mmoja. Nani kuibuka na ubabe leo?

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.

Mabingwa mara nyingi wa michuano hii Real Madrid Watakipiga Dhidi ya Union Berlin kutoka kule Ujerumani. Mabingwa hawa wana makombe 14 huku msimu uliopita waliondolewa hatua ya nusu fainali dhidi ya City ya Guardiola.

Union Berlin katoka kupoteza mchezo wa ligi kule Bundesliga  huku vijana wa Carlo Ancellotti wakiwa hawajapoteza mchezo wowote hadi sasa kwenye ligi. Real kushinda amepewa ODDS ya 1.37 kwa 7.64 hadi sasa. Pia mechi hii ina machaguo kibao bashiri sasa.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa..

NB: Huku ukiwa unendelea kubashiri mechi zako za ligi ya mabingwa kumbuka kuwa, bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

 

Lazio Dhidi ya Atletico Madrid, Hii ni mechi nyingine ya kukata na shoka itakuwa pale Stadio Olimpico, Rome ambapo Lazio atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid yani hapa zinakutana timu mbili tofauti Italia na Hispania ndani ya UCL.

 Timu hizi mbili kwenye mikutano yao mitatau ya mwisho Atletico amekuwa mbabe sana akishinda michezo yote mitatu huku Lazio akiambulia patupu.

2.55 hiyo ndio ODDS ya kuondoka na ushindi ugenini wakati mwenyeji kuondoka na pointi tatu ana ODDS ya 2.79. Suka jamvi sasa.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post