ETE WASHIRIKI SIKU YA USAFI DUNIANI

Katika maadhimisho ya siku ya usafi duniani ETE wameshiriki kusafisha ufukwe wa Kawe katika Bahari ya Hindi Dar es Salaam tuko lilio andaliwa na Haika Chao kutoka Student For Liberty Tanzania.

ETE pamoja na kushiriki kufanya usafi katika eneo hilo wanatumia Dijitali kuyasemea mazingira ambayo hayawezi kujisemea yenyewe, kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa mbalimbali ya mtandaoni kwa lengo la kufikisha ujumbe wa kukumbusha jamii kuendelea kutunza mazingira na kuyapenda ili yaendelee kuwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo

Picha zote na Fredy Njeje


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post