MSANII PROFESA JAY AIBUKIA NYUMBANI KWA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE


Leo Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametembelewa na msanii mkongwe wa Bongo Fleva Joseph Haule maarufu kama Professor Jay nyumbani kwake Kawe jijini Dar es salaam.


"Ni furaha iliyoje kumuona afya yake imeimarika.Hakika Mungu ni mkubwa", amesema Dkt Kikwete wakati akiongea na msanii huyo aliyeugua kwa muda mrefu kabla ya kupata nafuu baadae.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post