SEHEMU PEKEE YA KUPIGA MKWANJA WIKIENDI HII NI MERIDIANBET TU

Ligi mbalimbali wikiendi hii zitaendelea kutimua vumbi na viwanja mbalimbali vitawaka moto ambapo sehemu pekee ambayo utaweza kukusanya mkwanja wako ni Meridianbet ambayo wametoa ODDS za kibabe katika michezo itakayopigwa wikiendi hii.

Ligi kuu ya Uingereza itaendelea ambapo michezo kadhaa itapigwa jumamosi na mingine kumalizika siku ya jumapili Jumamosi kutakua na michezo mikali ambapo Manchester City mabingwa wateteze watakua nyumbani kumenyana na Fulham wakati huo Chelsea watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Nottingham Forest mchezo mwingine mkali utakua baina ya Brighton Hove dhidi ya Newcastle United ambazo zitakua na ODDS KUBWA.

Lakini hapohapo ligi kuu ya Uingereza siku ya jumapili kutakua na mchezo mkali ambao utafunga wiki pale katika dimba la Emirates ambapo Arsenal watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Manchester United mchezo ambao unatarajiwa kua mkali sana na umepewa ODDS nzuri pale Meridianbet.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.


NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

MAPENE BADO NI YA KUTOSHA JISHINDIE NA MERIDIANBET

Ligi kuu kuu ya Hispania maarufu kama La Liga moto utaendelea kuwaka pia wikiendi hii ambapo kuna michezo kadhaa ya kibabe itapigwa ambapo klabu ya Real Madrid itarejea katika dimba lake la nyumbani Santiago Bernabeu dhidi ya Getafe weka mkwanja wako katika mchezo huu ujishindie mapene ya kutosha na jumapili Barcelona watakua ugenini kukipiga na Osasuna lakini pale katika dimba la Ramon Sanchez Pizjuan moto utawaka ambapo Sevilla wtawakaribisha Atletico Madrid ambao wako kwenye kiwango bora kabisa usikubali kukosa mapene wikiendi hii kwenye michezo hii kupitia Meridianbet

 

Ligi kuu ya Italia SERIE A itaendelea ilipoishia na michezo mbalimbali itapigwa wikiendi hii na siku ya Jumamosi  kitapigwa kipute kikali pale katika dimba la Diego Armando Maradona ambapo Napoli watakua nyumbani kumenyana na Lazio mchezo ambao umepewa ODDS bomba pale Meridianbet ambapo Napoli wamepewa 1.62 huku Lazio wakipewa 5.29 na mchezo mwingine utakua kati ya Atalanta dhidi ya Monza na mchezo huu umepewa ODDS kabambe pia  .

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

LIGUE 1  Michezo mbalimbali itaendelea kupigwa wikiendi hii kwenye ligi kuu ya Ufaransa  kuanzia jumamosi mpaka jumapili na inaweza kua nafasi yako ya kupiga mishindo kama kawaida ambapo Jumamosi Monaco watashuka dimbani kukipiga na Lens ambao unatarajiwa kua mchezo mkali ambao una ODDS za kibabe lakini Jumapili pia sio ya kukosa kwani PSG watakua ugenini kukipiga na klabu ya Olympique Lyon mchezo ambao pia umepewa ODDS za kutosha pale Meridianbet.

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post