MERIDIANBET KUKUPATIA PESA NA LIGI BORA DUNIANI WIKENDI HII

Wikendi hii mkwanja ni mnono sana ukibashiri na Meridianbet kwenye ligi 5 bora Duniani na zaidi kwa dau dogo tuu utakusanya mkwanja wa maana. Chimbo ndio hilihili hakuna lingine, na hapa wanakuhakikishia uksinda pesa yako ni hapo hapo hakuna kusubiri.

Wikendi hii kuna mechi kubwa nyingi ila pale SERIE A kuna derby moja kali sana kati ya Inter Milan dhidi ya AC Milan huku timu zote zikiwania pointi 3 muhimu. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Inzaghi na vijana wake. Wewe karata yako unaitupa wapi?

Wakati majira ya saa 10:00 jioni Juventus yeye ataumana dhidi ya Lazio ambaye alianza ligi vibaya kwa kupoteza michezo miwili ya kwanza na kashinda wa msiho. Je Allegri atakubali kichapo kwake? ODDS KUBWA zipo mechi hii.

Mourinho naye na vijana wake AS Roma watashuka dimbani kumualika Empoli huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1. Hakuna aliyeshinda mechi yoyote hadi sasa. Nani kuibuka na ushindi mechi hii. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 bashiri sasa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

BUNDESLIGA kutakuwa kwa moto sana wikendi hii, Freiburg aliyepo nafasi ya 8 atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund ambaye yupo nafasi ya 9. Dortmund mechi mbili za mwisho kapata sare. Je ataweza kunyakua ushindi kesho?

Meridianbet na Halopesa wamekuletea promosheni ya kujichotea maokoto endapo utaweka na kubashiri na Meridianbet na utaweza kupata zawadi kama pikipiki, pesa taslimu, simu janja nk. Cheza Sasa.

RB Leipzig atazichapa dhidi ya Augsburg huku mechi mbili walipokutana msimu uliopita, RB alioshinda zote. Mechi hii ina ODDS KUBWA ingia www.meridianbet.co.tz na ubashiri sasa.

Mechi nyingine ya kuangalia na yenye ushindani itakuwa ni kati ya Wolfsburg dhidi ya Union Berlin ambapo kwenye kuondoka na pointi 3 nafasi kubwa anayo mwenyeji akiwa na odds ya 2.20 na mgeni ana 3.19. Suka jamvi lako hapa na ushinde.

Eintracht Frankfurt mwenye odds ya 2.30 atakuwa ugenini dhidi ya VFL Bochum mwenye odds ya 2.89. Karata yako unaitupa wapi wikendi hii kati ya mechi hizi mbili?.

Kivumbi cha LALIGA wikendi hii mechi za kujidai nazo ni nyingi ila za kibabe zaidi ni Real Madrid dhidi ya Real Sociedad. Nani kuibuka na ubabe huku wababe hao wa ligi wakiwa na kiwango kikubwa sana

Barcelona atamkaribisha Real Betis na mechi za msimu uliopita walipokutana, Xavi na vijana wake walishinda zote. Je Mgeni atalipiza kisasi? Mechi hii imepewa ODDS ya 1.37 kwa 7.44.

Villarreal baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, Jumapili atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya UD Almeria. Nyambizi wa Njano ataondoka na pointi 3 mechi hii? Bashiri kibingwa na Meridianbet.

Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha

EPL inasema bado mambo yataiva sana na mechi za kuzama zinakubiri, Baada ya Brighton kutoa kichapo kizito mechi iliyopita atakipiga dhidi ya Manchester United ambaye  amepoteza. Je Ten Hag atafanya nini dhidi ya De Zerbi.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Siku ya Jumapili vijana wa Pochettino Chelsea baada ya kupoteza mechi yao iliyopita watakuwa ugenini dhidi ya Bournemouth. Nafasi kubwa ya ushindi pale Meridianbet amepewa The Blues akiwa na ODDS ya 1.76 kwa 4.21. Atashinda?

Siku hiyo hiyo majira ya saa 12:30, Arsenal ya Arteta itakuwa ugenini dhidi ya Everton huku mechi ya mwisho kukutana The Guners walipoteza. Je wataweza kulipa kisasi na kujiweka kwenye nafasi ya kutetea taji la ligi?

Newcastle atamkaribisha Brentford baada ya kupoteza mchezo wake uliopita. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet.

NB: Bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post