Picha : RC MNDEME AKABIDHI MWENGE WA UHURU GEITA ...."SHINYANGA UMETOKA SALAMA, WAPONGEZWA"

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella (kulia) leo Jumatano Agosti 2,2023.

Akizungumza wakati wa Makabidhiano hayo ya Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Abdalla Shaib Kaim ameupongeza Mkoa wa Shinyanga kwa ushirikiano mzuri na usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo ambapo mkoa huo umepewa Hati safi (Clean Sheet).

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amesema Mwenge wa Uhuru ambao umekimbizwa umbali wa Kilomita 571.5 na kupitia Miradi ya Maendeleo 41 yenye thamani ya Sh.bilioni 14.2. umetoka salama mkoani Shinyanga na kuahidi kuendelea kusimamia vizuri miradi ya maendeleo.
Picha na Kadama Malunde - Malunde  blog
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella (kulia) leo Jumatano Agosti 2,2023.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella (kulia) leo Jumatano Agosti 2,2023.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella (kulia) leo Jumatano Agosti 2,2023.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post