SEHEMU ZA KUVUTIA ZAIDI ULIMWENGUNIUkiachilia mbali maeneo mengi ya kuvutia yaliyopo Tanzania bara na visiwani kama Mlima Kilimanjaro, Serengeti na Ngorongoro, kuna maeneo mengi yanayovutia zaidi kutembelea kula pensheni na bata. Meridianbet wanakupa odds kubwa za ushindi zinazoweza kukufikisha huko.

 

5: Kijiji cha Huacachina, Peru.

 

Huacachina ni kijiji kidogo sana kinapatikana kusini magharibi mwa Peru. Kimezungukwa na jangwa kubwa lakini eneo dogo la kijiji lina mbole inayoweza kushawisha mimea.

 

Ni kijiji kinachozunguka kaziwa kadogo na wanakiita Huacachina kwa maana ya rasi iliyojificha, ni kama kilometa 5 kutoka katika mji wa Ica, katika Jimbo la Ica.

 

Ziwa hili lilikuwa la asili na lilianza kupotea kidogo kidogo katika miaka ya mwishoni mwa 2000s, sasa ili kulilinda, mwaka 2015 wakazi wa eneo hilo walilazimika kujaza maji na kina wasiopungua 100.

 

Panga ushindi wako ukicheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, michezo ya sloti na bonasi kibao.

 

4. Hifadhi ya Grand Canyon, Marekani

 

Utalii ni kitu kinazalisha pato la nchi husika kwa haraka Zaidi, mfano Tanzania sekta inayozalisha uchumi kwa kiasi kikubwa ni utalii. Grand Canyon Inatajwa kuwa moja ya maeno ya kustaajabisha duniani kutokana na upekee na safu ya milima hiyo ilivyopangika.

 

 

 

Ni hifadhi iliyoundwa na mawe ya ajabu, kama yametengenezwa kumbe ni ya asili yaliyogunduliwa miaka mingi iliyopita.

 

Odds kubwa unazipata Meridianbet pekee, bashiri mubashara na cheza kasino ya mtandaoni.

 

CHEZA KASINO YA MTANDAONI

 

3: Mabwawa ya Fairy, Scotland

 

Unalijua bwawa wewe!! 'The Fairy Pools' yaliyopo nchini Scotland ni mabwawa ya kipekee yanayoundwa na mto unaotmwaga maji kwenye eneo lenye mawe na muundo wa ajabu.

 

Mifereji ya maji yanayotoka kwenye milima ya Cuillin kuingia kwenye mto Brittle kwa kumiminika kwenye mawe na kutengeneza 'water falls' na vibwawa ambavyo kwa macho vinavutia kuangalia na kupiga picha.

 


Eneo hili la mabwawa ya Fairy lililopo karibu na kijiji cha Carbost lina ukubwa wa kama kilometa 2.4 na inakuchukua dakika mpaka 40 kulitembelea kwa miguu hasa kwenda kwenye eneo lilipo bwawa kubwa na kurudi.

 

bashiri soka kwa odds kubwa, cheza kasino ya mtandaoni na sloti uwe moja ya washindi wa kila siku Meridianbet.

 

2: Fukwe ya Whitehaven, Australia

 

Whitehaven beach hii ni fukwe ya kushangaza yenye urefu wa kilometa saba, inayopatikana kwenye kisiwa cha Whitsunday, nchini Australia.  Ili kukifikia kisiwa hicho unatumia boti, ndege za majini ama helkopta kutoka fukwe jirani ya Airlie Beach, bandari ya Shute au kisiwa jirani cha Hamilton.

 

Inatajwa kwamba, ndiyo fukwe iliyopigwa picha nyingi zaidi za ufukweni duniani. Mchanga wake ni mweupe zaidi kwa asilimia 98 ni silica, inaelezwa uliletwa ufukweni hapo miaka zaidi ya milioni iliyopita.

 

 

 

Upekee wa fukwe hii ni kwamba hata jua liwake kiasi gani, mchanga wake haupati moto, haushiki joto, hauunguzi na kufanya uweze kutembea peku ama kulala kwenye mchanga bila shaka yoyote na kufurahia madhari ya maji na mawingu ya blue kando ya maji.

 

Mchanga wake hutumia kusafisha vito vya dhamani kama madini, lakini tahadhari ni kwamba mchanga huu una hatari Zaidi na vitu vya umeme kama simu, camera nk, hivyo unapotembelea fukwe hii unashauriwa kuwa makini na vifaa vyako visiguse mchanga.

 

Meridianbet imejitolea kukupeleka upendako Tanzania ukiwa na umpendae kama tu utacheza Aviator kasino ya mtandaoni, kuna Serengeti, Kilimanjaro, Zanzibar. Chagua mwenyewe.

 

1: Cappadocia, Uturuki

 

Eneo hili ni la kipekee sana duniani, linaundwa na mawe yenye muuondo wa kipekee. Watu walioishi hapo miaka hiyo, walitumia mawe hayo kutengeneza makazi chini yake. Baadhi ya muundo wa mawe hayo yanatengeneza mapango madogo yanayoweza kukaliwa na watu wachache wakaishi.

 

Yapo mawe yenye muundo wa Makanisa, nyumba na hotel na ni eneo linalopendezeshwa kwa kuzungukwa na Maputo juu, Maputo ya rangi tofauti tofauti na kuzidi kuleta mvuto wa macho.

 

 

 

Ni eneo la kuhistoria linalopatikana Central Anatolia, katika mjimbo ya Nevşehir, Kayseri, Aksaray, Kırşehir, Malatya, Sivas na Niğde nchini Uturuki na Miezi ya Julai na Agosti, hufurika watalii kutoka kila pembe ya dunia.

 

Kukaa kwa siku tatu eneo hilo inagharimu mpaka dola 350-600, pesa hizi unaweza kuzipata kama tu utabeti Meridianbet au kucheza kasino ya mtandaoni na sloti kisha ujiweke katika sehemu ya kuwa bingwa.

 

BETI

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post