WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI SABASABAWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Madini (MADINI PAVILION) kujionea huduma mbalimbali zinazofanywa na wizara hiyo, taasisi zilizo chini yake na wadau wa Sekta ya Madini.


Ametembelea leo tarehe 8 Juni, 2023 katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es salaam

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post