MERIDIANBET KASINO YAJA NA GEMU HII KALI NA RAHISI KUSHINDA

 

Kuna hadithi nyingi za watu maarufu wa kale na magwiji mbalimbali zimesimuliwa kupitia vitabu na michezo ya kasino ya mtandaoni, una nafasi ya kujipakulia minyama kwenye mchezo mpya wa Meridianbet kasino ya mtandaoni unaitwa Treasures of Gods.

 

Treasures of the Gods ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet unaotegemea kutafuta vitu vilivyofichwa. Kazi yako ni rahisi sana: unahitaji kupata vitu ambavyo vina almasi na kuepuka vile vilivyowakilishwa na shetani. Malipo ya juu kabisa katika mchezo huu ni mara 3,932 zaidi ya dau.

 

Mchezo huu una safu nne zilizopangwa katika makundi sita. Kila unapoendelea, unafungua safu inayofuata, na kila pigo jipya linakuletea ushindi mkubwa zaidi.

 

Ikiwa unaridhika na odds kubwa ulizopata mpaka sasa, unaweza kumaliza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo na kukusanya maokoto yako. Treasures of Gods unakupatia ushindi mkubwa ambao haukutegemea na huwezi kuupata kwingine Zaidi ya Meridianbet kasino ya mtandaoni.

 

Unapoona alama ya almasi, unaweza kuanza hatua inayofuata, wakati unapopata shetani, mchezo unakamilika na unapoteza dau uliloweka.

Chini ya safu utaona menyu ya Bet/bashiri, ambapo kuna vitufe vya plus/kujumlisha na kutoa/minus.

 

Tumia sehemu hizi kuweka kiwango cha dau lako kwa kila mzunguko.

Kwa kuwa huu ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaopokezana zamu, hautaona kipengele cha Autoplay.

 

Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Treasures of Gods

 

Anza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kwa kubonyeza kitufe cha Spin. Kisha safu ya kwanza yenye masanduku manne itaanza, ambapo alama zimefichwa. Ikiwa utapata alama ya almasi, safu ya pili itaanza na kadhalika hadi ufikie safu ya sita ya mwisho.

 

Inapaswa kuzingatiwa kuwa Treasures of Gods una viwango vitatu ambavyo unaweza kujaribu: Rahisi, Kawaida, na Ngumu. Tofauti kati ya viwango hivi vitatu ni kama ifuatavyo:

 

  • Rahisi – kiwango cha rahisi kina almasi tatu na shetani mmoja katika kila safu na odds za ushindi zinapungua zaidi katika kiwango hiki.
  • Kawaida – kiwango cha wastani kina almasi mbili na shetani wawili katika kila safu na odds za ushindi katika kiwango hiki ni kubwa sana.
  • Ngumu – kiwango cha juu kabisa kina shetani watatu na almasi moja katika kila safu na odds za ushindi katika kiwango hiki ni za kipekee ajabu.

 

Unasubiri nini kuanza kujikusanyia pesa nyingi kupitia mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ambapo, pamoja na yote unakupa burudani ya muziki mzuri muda wote unapoucheza.

 

 

 

NB: Kubwa kuliko ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post