SELCOM NA MERIDIANBET WADONDOKA NA BONGE LA PROMOSHENI


Sikiliza wewe Meridianbet hawana maelekezo mapya na wakati huu hawajaja wenyewe wamekuja na Selcom kwa ajili yako wewe mteja kwani wana bonge la ofa.

Utaratibu ambao wewe kama mteja wa Meridianbet kuchukua simu yako na kuweka kiasi cha shilingi 15,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Selcom na ukacheza michezo mbalimbali ya Kasino Mitandaoni ambapo unaweza kupata bonasi ya michezo yenye thamani ya shilingi 1500 au mizunguko 150 kwenye mchezo utakaoucheza.

Meridianbet inatoa washindi wa mamilioni kila siku kupitia michezo ya Kasino mitandaoni hivyo wewe mteja ukiingia kwenye promosheni hii na ukafanikiwa kushinda mizunguko ya bure 150 inaweza kukusaidia kushinda mamilioni kama wenzako.

Ofa hii itawahusu zaidi wale ambao wanapenda kucheza michezo mbalimbali ya Kasino Mitandaoni kama Piggy Party, Aviator, Poker, Roulette na mingine kibao.

Promosheni hii imeanza mwezi Julai tarehe 1 ambayo inatarajiwa kwenda mpaka tarehe 15 mwezi ambapo ndio itakua mwisho wa ofa  hii.

Kitu pekee ambacho kitakupa nafasi ya kupata bonasi ya mizunguko 150 au kupewa shilingi 1500 ni kuhakikisha unaweka pesa na Selcom kwenye akaunti yako ya Meridianbet.


Vigezo na Masharti ya promosheni hii,

-      Zingatia muda uliopangawa kama unataka kuwa mshindi ambapo mwisho ni tarehe 15 mwezi huu.

-      Bonasi ya shilingi 1500 au mizunguko 150 ya bure itatolewa kila siku kesho yake saa saba mchana.

-      Turbo cash na mfumo na tiketi za mfumo hazitastahili kupata bonasi.

-      Kampeni hii itapatikana kwa wachezaji waliojisajili katika tovati ya Meridianbet au Aplikesheni yake.

-  Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.

-                Vigezo na masharti kuzingatiwa.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post