CRDB BANK KUBORESHA MFUMO WA MALIPO ECOWATER





Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Kati,Jane Maganga akizungumza katika Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.


Mkuu wa Opareshi ECOWATER,Deogratius Massawe,akitoa taarifa katika Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.

Mwendeshaji wa Shughuli za Kiutawala ECOWATER,Sarah Kessy akizungumza katika Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.
Mashuhuda wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo uliyofanyika leo Julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Kati,Jane Maganga (wa pili kushoto) na Mwendeshaji wa Shughuli za Kiutawala ECOWATER,Sarah Kessy (wa pili kulia) wakisani mkataba katika Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo Julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Kati,Jane Maganga (wa pili kushoto) na Mwendeshaji wa Shughuli za Kiutawala ECOWATER,Sarah Kessy (wa pili kulia) wakionesha mkataba walioingia baina yao wakati wa Uzinduzi wa Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo Julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.

Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB Kanda ya Kati,Jane Maganga (wa pili kushoto) na Mwendeshaji wa Shughuli za Kiutawala ECOWATER,Sarah Kessy wakipiga picha za pamoja. Ushirikiano kati ya Kampuni ya ECOWATER na CRDB katika Kuboresha mfumo wa Malipo,iliyofanyika leo Julai 11,2023 katika Chuo cha Biashara(CBE) jijini Dodoma.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post