RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA JECHA SALIM JECHAAliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefariki dunia, leo Jumanne, Julai 18, 2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Jeshi Lugola, jijini Dar es Salaam.

Jecha ambaye jina lake lilipata umaarufu baada ya kufuta uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kisiwani Zanzibar.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post