Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Macrina Clemence kulia akitoa elimu kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye Banda lao wakati wa maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
Wananchi wakiwa kwenye Banda ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipatiwa huduma mbalimbali wakati wa maonyesho hayo
Wananchi wakiendelea kupata huduma kwenye Banda ya NHIF
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Post a Comment