Breaking : RAIS SAMIA APANGUA PANGUA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri kwa kuteua wapya, kuwahamisha vituo na wengine kuachwa katika vituo vyao vya awali.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

1/Post a Comment/Comments

  1. Sijui kwa nini wamehamisha Mkurugenzi huyu wa Manispaa ya Shinyanga ambaye maono yake yalikuwa kuisasisha Shinyanga yetu, sasa tumekatwa miguu yote miwili

    ReplyDelete

Post a Comment